February 24, 2020


IMEELEZWA kuwa maisha ya nyota wanne ndani ya kikosi cha Simba yapo mikononi mwa Kocha Mkuu Sven Vanderbroeck raia wa Ubelgiji.

Nyota hao ambao wanakipiga ndani ya Simba inaelezwa kuwa kuna timu ambazo zimeanza kupiga hesabu kupata saini yake baada ya kandarasi zao kukaribia kumalizika.

Kwenye orodha hiyo ni mchezaji wa kigeni mmoja tu ambaye ni beki, Pascal Wawa raia wa Ivory Coast huku wazawa wakiwa ni beki Yusuphu Mlipili ambaye hana nafasi ndani ya kikosi cha kwanza

Kiungo myumbulifu, Hassan Dilunga mwenye mabao sita na pasi moja ya bao kwa sasa na kiungo wanayemwita mapafu ya mbwa, Mzamiru Yassin mwenye pasi tatu za mabao. 

Wawa amesema kuwa hajui lolote kuhus hilo zaidi ya kutimiza majukumu yake ndani ya timu.

2 COMMENTS:

  1. Huko sawa mhariri tena hili ni pepo,kwa dilunga,wawa na mzamiru umechemka kamwe haitakaa itokee,alafu msipende kuleta habari ambazo hazina vyanzo makini,jaribuni kua makini mnazid kuangamia mjue.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic