February 11, 2020


KWA mara nyingine mwimbaji wa muziki wa Injili nchini, Emmanuel Mbasha amechafua hali ya hewa mtandaoni baada ya kuweka picha akiwa kifua wazi huku chini akiwa amefunga taulo.

Mbasha aliweka picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa amekaa ambapo taulo liliacha nafasi na boksa aliyokuwa amevaa kuonekana nje jambo ambalo liliwatoa povu la aina yake mashabiki wake na kumtaka aache tabia hiyo kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu.

“Siku nyingine ujitahidi kujistiri mtumishi maana siyo kila mtu ataona ni kawaida kwa mtumishi mkubwa wa Mungu kujiweka kiivo kama ulivyo hapo, kuwa makini sana,” yalisomeka moja ya maoni ya mashabiki zake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic