February 3, 2020

6 COMMENTS:

  1. Watanzania cc ni shida tu. kujifanya kujua kila kitu mpaka villa watajuta kwanini walimsajili samata.Tutamfanya samata achukiwe na wachezaji wenzanke bila ya sababu. Watanzania kwa kujifanya tunajua sana mpaka tunakwenda kuwafundisha wazungu roho mbaya watunyime mikopo ya maendeleo kwa nchi yetu, sio msaada baba ni mkopo? Tunapanda ndege kuwafuata wazungu huko huko ulaya kwenda kuwapiga darasa jinsi yakuwa roho na nchi yetu? Watanzania tema mate chini kwa mafigisu☆?●¿#

    ReplyDelete
  2. Watanzania tunajua sana mambo mawili:

    1. Kudandia magari kwa mbele na
    2. Kupika majungu

    ReplyDelete
  3. Duh Aise Tuwe Watulivu Mbona Ulimbukeni Ni Mwingi,

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...Nimackitiko makubwa jaman hata km n kwel tuwen n uvumiliv tuone kijana we2 anafanyann kuliko kumuharibia km ananyimwa pasi kocha anaona napia km ingekuw hawamuhitaj wasingemsajili wanajua uwezo wake ndomana wamemxajili TUNAOMBA UPOLE N UTULIVU UTULIE TUNA MUATHIRI NA KUMUHARIBIA SAMAGOAL

    ReplyDelete
  5. Tunajua majungu na uzushi.Na kujifanya wataalamu wa hata tusikokijua

    ReplyDelete
  6. hapa kuna hila za kuharibiana kazi kiasi cha kwamba tunajiona tunampenda samata kumbe tunataka kumwalibia nahisi kabisa hizi hila si kawaida jamani

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic