February 3, 2020


BERNARD Morrison alikutana na balaa zito uwanjani jana, Februari,3 wakati timu yake ikshinda bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Taifa.

Bao pekee la ushindi kwa Yanga lilifungwa na David Molinga dakika ya 50 akimalizia pasi ya Ditram Nchimbi ambaye aliingia kipindi cha pili dakika ya 45 akichukua nafasi ya Sibomana.

Alitumia dakika 85 uwanjani na alichezea jumla ya faulo nane nafasi yake ilichukuliwa na Abdulaziz Makame.

Leo Morrison amefanyiwa vipimo na kupewa huduma ya kwanza ili kumrejesha kwenye hali yake ya zamani.

Luc Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anaamini wachezaji wake wateandelea kumpa matokeo kwenye mechi zake zijazo.

1 COMMENTS:

  1. Akome tena akome kwani kayataka hata kocha wake aliyaona yanakuja haya.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic