February 21, 2020


TIMU ya Mwadui FC ya Shinyanga kwa kulazimisha sare nayo ni balaa ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20.
Msimu huu namba moja kwa sare ni Tanzania Prisons ya Mbeya ambayo imejikusanyia sare 12 ikiwa imecheza mechi 23.
Mwadui FC iliyocheza jumla ya mechi 22 imejikusanyia sare 10 ikiwa ni naffasi ya pili.
Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya 19 kibindoni ina pointi 19. Cheki iliotoka nao sare hawa hapa:-Ndanda 0-0 Mwadui, Namungo 0-0Mwadui, Mwadui 1-1Alliance, Mwadui 1-1 Mbao, Mwadui 2-2 JKT Tanzania, Tanzania Prisons 1-1 Mwadui, Mwadui 1-1KMC, Mwadui 1-1Ruvu Shooting, Singida United 2-2 Mwadui, Mwadui 1-1 Namungo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic