February 4, 2020

PARIS Saint-Germain (PSG) itamkosa mshambuliaji wake raia wa Brazil, Neymar Jr kwenye mchezo wa Ligue 1 utakaochezwa leo dhidi ya Nantes kutokana na majeruhi.

Neymar alicheza dakika 90 kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Montpellier ambao walikubali kichapo cha mabao 5-0.


Kwa sasa PSG ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligue 1 ikiwa imecheza jumla ya mechi 22 ina pointi 55.

Mpinzani wake Nantes ipo nafasi ya tisa ikiwa na pointi 32 imecheza pia mechi 22.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic