DITRAM Nchimbi, Haruna Niyonzima na Fei Toto wataukosa mchezo wa leo dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja Taifa.
Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema Ditram Nchimbi anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Haruna Niyonzima alipata majeraha katika mchezo uliopita, Feisal Salum ana udhuru.
Yanga ilishinda mchezo wa kwanza dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Samora hivyo mchezo wa leo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zoe kutafuta ushindi.

0 COMMENTS:
Post a Comment