February 15, 2020


FT: Lipuli 0-1 Simba
Uwanja Samora
Gooal Bocco
Mpira Uwanja wa Samora umemalizika kwa Simba kushinda bao 1-0 mbele ya Lipuli na kusepa na pointi tatu.

Dakika ya 59 Simba inapiga kona ya nane inaanuliwaDakika ya 56 Kagere anafanya jaribio linaishia mikononi mwa Dida
Dakika ya 55 Chama anapiga kona ya saba haileti matunda
Dakika ya 51 Tshabalala anapiga faulo
Imeongezwa dakika mojaDakika ya 35 Simba wanapiga kona sita inaokolewa
Dakika ya 31 Paul Ngalema anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 29 Simba wanapiga kona ya tano inaokolewa
Dakika ya 27 Lipuli wanapiga kona 
Dakika ya 22 Bocco anafunga bao kwa pasi ya Francis Kahata
Dakika ya 21 Simba wanapiga kona ya nne nayo inaokolewa na mabeki
Dakika ya 15 Manula anaanzisha mashambulizi, ndani ya dakika 15 za mwanzo ngoma ni ngumu kwa timu zote na zinacheza kwa ufundi
Dakika ya 12 Kapombe anapiga kona ya tatu kwa Simba haileti matunda
Dakika ya 9 Kened Masumbuko mwenye mabao matatu anaachia fataki kali linaokolewa na Manula inakuwa kona ya pili kwa Lipuli
Dakika ya 7 Daruesh anatengeneza nafasi nzuri ila anapotezana na wachezaji wenzake
Chama amepiga kona ya kwanza dakika ya 06 Lipuli wamepiga kona ya kwanza dakika ya 5

LIPULI leo imeikaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa Uwanja wa Samora, Iringa.

Mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 4-0 ulichezwa Uwanja wa Uhuru.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona ushindani ndani ya Samora.

6 COMMENTS:

  1. Bado gari halijawaka wapi HD,KAGERE,CHAMA NA AJIB??TUNAOMBA USHINDI PLZ.

    ReplyDelete
  2. Mnyama kimyakimya anatoka huyo.

    ReplyDelete
  3. 4-4-2 ya Sven tena. Strikers wawili ndio tiba.

    ReplyDelete
  4. Ushindani kunako ligi ndio tunaoutaka na kiasi fulani hadi sasa timu ligi kuu bara zimeonesha uwezo mzuri.

    ReplyDelete
  5. Kwa kweli ligi ni ngumu sana!!!!!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic