February 26, 2020


CLATOUS Chama, kiungo ndani ya Simba amesema kuwa watapambana kufikia malengo waliyojiwekea ndani ya Simba kwa pamoja.

Chama jana alikuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi kilichoshinda mbele ya Stand United kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho mbele ya Stand United Uwanja wa Kambarange.

Ndani ya dakika 90 Simba ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na ilipenya kwa penalti 3-2 imetinga hatua ya robo fainali.

"Tuna kazi kubwa ya kufanya kwenye mashindano ambayo tunashiriki na hapa ambapo tupo kwenye Kombe la Shirikisho, imani yetu ni kuona tunafanya vizuri na kupata matokeo, mashabiki watupe sapoti," amesema.

3 COMMENTS:

  1. mnabeba brand kubwa sana haingii akilini kusumbuliwa na timu inayoonekana duni

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha zako hili ni soka sio siasa bhana kila timu ina haki ya kushinda acheni kuwapa pressure wachezaji wale wana miguu 2 na hawa miwili kwa hyo ukiangalia michuano mbalimbali hata huko anga za juu ndo maana unakuta hata club ndogo inaiadhibu club kubwa kwa sababu kila mechi ina mbinu zake sasa ulitaka kila mechi ni kufika na kushinda tu kuna haja gani ya kuweka mashindano na nini maana ya mashindano na kushindana?

      Delete
    2. Braza umeongea football.....huyo liver mwenyew kafungwa 5-0 n aston villa....ushindan ndo maan halisi ya mashindano

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic