February 4, 2020

JAMIE Vardy, mshambuliaji wa Leicester City ni rafiki namba moja wa nyavu ndani ya Ligi Kuu England kwa msimu wa 2019/20.

Amecheka na nyavu mara 17 na ana jumla ya asisti nne timu yake ikiwa imecheza jumla ya 25 na imeachika mabao 54 ikiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo.

Amecheza jumla ya dakika 2,013 ana wastani wa kutupia kila baada ya dakika 118.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic