February 1, 2020


GERSON Fraga, kiungo mkabaji wa Simba leo amemaliza shughuli Uwanja wa Taifa kwa kuifungia timu yake mabao 2-0 mbele ya Coastal Union.

Fraga amefunga mabao hayo dakika ya  7 na 78.

Timu zote ndani ya Ligi Kuu Bara zimecheza jumla ya mechi 18 na ushindi huo unaifanya Simba kufikisha jumla ya pointi 47 kibindoni,

Kipindi cha kwanza Erasto Nyoni alitolewa nje baada ya kuumia nafasi yake ilichukuliwa na Kenedy Juma.

Kagere naye alifunga bao ila ilioneshwa kuwa ameotea.

11 COMMENTS:

  1. Goli zuri limefungwa huyo raizmen wenu anakataa anataka goli gani? Basi na hili lingune kataeni nalo wawe hawajafungana mnawafundisha nyinyi tff wafanye hivyo kwa maslahi ya hao vyura

    ReplyDelete
  2. Hapana waache wafanye wanavyotaka ila mungu atawaona.

    ReplyDelete
  3. Wangekataa tena goli hizo 2 wapewe kosti ama hao vyura

    ReplyDelete
  4. Nyama linaendelea kukata mbuga Nani atayethubutu kumzuwia kaa chonjo umpishe upate nusura yako

    ReplyDelete
  5. Wana simba tulieni,tena ikiwezekana msiwajibu pale wanapowasemesha,kwasababu yanga ina mashabiki vilaza sana,kwanini mashabiki wengi wa yanga hawajielewi??angalia kitakachompata dogo na mkifanya mchezo inakula kwenu tena mtapoteza kote safari hii.hongereni wana simba kwa ushindi japo magoli ya halali yamekataliwa ila siku zote mwenye haki mungu hawezi kumtupa hata siku moja.

    ReplyDelete
  6. Hao kandambili kesho wataona kiama chao

    ReplyDelete
  7. Yanga imekuwa VAR ya Tanzania .Haya Leo tuambieni goli la Kagere ni offside au sio offside. Kwa sababu mmegeuka wasaidizi wa marefa.Kila siku kulalama. Chezeni mpira acheni mayowe.

    ReplyDelete
  8. Tatizo lenu mumekuwa wanawake tuachieni mpira wetu nendeni mkaimbe tarabu maana mipasho haiwaishiangalie mtaombwa vitu je mtao?

    ReplyDelete
  9. Kila siku tuwasome nyie na kila siku mnalialia tu njoo tuwapakete si mumeishakuwa mabinti na timu yenu ya mbeleko hiyo Leo hamjabebwa mnajifanya mumeonewa vyura nyie tafuteni jina nanyie tuwasikie sio kuiga misemo ya watu Hugo chizi wenu kazi yake nn ?

    ReplyDelete
  10. Kazaneni ila mwisho wa msimu goal difference itakuwa 0. Maana magoli mnayofunga ndyo mnayofungwa. Yaani forward butu beki uchochoro

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic