February 1, 2020



YANGA leo imemshusha Bongo, Carraca Antonio Domingoz Pinto ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu (General Manager) wa Klabu ya Benfica ya Ureno kwa muongo mmoja (miaka 10) ili kuanza kazi ya kushauri kueleka Mabadiliko ya kimfumo ya uendeshaji wa Klabu.

Nguli huyo wa mfumo wa Soka la Kisasa ameletwa kwa hisani kubwa ya Gsm ambao ni wadhamini wa Yanga.

Leo amepokelewa na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Mhandisi, Hersi Said, Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere terminal 3.

4 COMMENTS:

  1. Hebu tusubiri tuone matokeo ya mipango hii ila nawapongeza kwa kwenda kimyakimya bila ya kelele za kwenye vyombo vya habari kabla jambo halijafanyika

    ReplyDelete
  2. Atafanya nini cha ajabu kwani hao ni vyura wa jangwani labda kuwatowa jangwani kuwapeleka kigamboni na atafukuzwa kimya kimya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kazi ya kufanya kampatie mama yako atakupatia majibu

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic