February 11, 2020


FT:Yanga 1-1 Mbeya City

Uwanja wa Taifa

Ligi Kuu Bara

Lamine Moro amejifunga dakika ya 42
Goooal kwa Yanga Bernard Morrison dk 75

Yanga leo imeikaribisha Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa Uwanja wa Taifa.

Yanga inakumbukumbu ya kushinda bao 1-0 mbele ya Ruvu Shooting na Mbeya City ilishinda bao 1-0 mbele ya Tanzania Prisons.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kutoa sapoti kwa timu zao.

9 COMMENTS:

  1. endelezini fitina eti kuna timu zinabebwa na waamuzi!mara vyumba vinapuliziwa dawa mara wananunua mechi..TFF tafadhali wapangeni Yanga viporo vyao wavimalize katika masaa 96..kama Simba imekuwa ikicheza hivyo kwa nini isiwe Yanga? halafu kama kuna timu imependelewa sana na waamuzi leo basi ni Yanga

    ReplyDelete
  2. Tuanze mjadala was mechi ya yanga na mbeya jiji. Leteni maoni hapa!

    ReplyDelete
  3. Wamebwbwa sana wanakatwa wachezaji wanaumia refa hapigi firimbi wakiguswa hao kandambili au vyura wa jangwani refa anapiga forimbi hataka na kadi

    ReplyDelete
  4. Yanga huwa wanajifanya wao ndio machampioni wa kubebwa..Leo hii wamebebwa haswaaa! Endelezeni fitina matokeo take ni sawa ilivyokuwa CAF eti waliingia mashindano kwa jitihada zao...Kateleza Simba wakamzomea na kumcheka...Mungu akawaona wakajitoa wenyewe kwa kujifunga..Wamerudi ligi fitina..Eti Simba wanabebwa wakati wao wakicheza wanapata penalti haramu...mara magoli ya timu pinzani yanakataliwa..Leo wamejifunga...usijali utafanikiwa tu kwa kujenga fitina

    ReplyDelete
  5. leo wamepotea katu hata hawaonekan wanaona aibu kwa manenoyao machaf mpira uwanjan sio midomon na mitandaon na jembe nae aendelee kusema kwamba mfumo wa kocha wao umejibu

    ReplyDelete
  6. Hapana kitu kinachonifurahisha kama kuwaona vyura vinafungwa au droo kwasababu wanahisi kuwa wao tu ndio wanaostahaki ushindi na huzidi kujiona pale wanapozuzuliw kuitwa MABINGWA WA JADI

    ReplyDelete
  7. Mabingwa wa Ngoma za jadi na uzushi.Malalamiko FC

    ReplyDelete
  8. wako wapi Yanga hapa.Siku Simba inapoteza kwa polisi kulikuwa na comment zaidi ya 20..duh kuaibika tena kwenye birthday yako.wamshukuru refa

    ReplyDelete
  9. Yanga hawana timu makelele tu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic