February 23, 2020

TIMU ya Yanga imetozwa faini ya Tsh 500,000 (laki tano) kwa kosa la timu hiyo kushindwa kuwasilisha fomu ya
wachezaji wao kwenye Pre match meeting ya mchezo uliofanyika Februari 15, 2020 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Adhabu hiyo imetolewa kwa uzingativu wa kanuni ya 14(3) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.


Mchezo huo ulikamilika kwa Yanga kulazimisha sare ya bila kufungana.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic