March 10, 2020

ERASTO Nyoni, beki wa timu ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara atakaa nje kwa muda wa wiki mbili sawa na siku 14.

Nyoni kwa sasa ni majeruhi aliumia kifundo cha mguu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Taifa, Machi 8,2020 Jumapili.

Kwenye mchezo huo ambao Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 nafasi yake ilichukuliwa na beki Kened Juma .

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic