March 22, 2020


HAWA wametwaa tuzo za Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ambapo kwa upande wa Arstica Cioaba amekuwa Kocha Mkuu aliyetwaa tuzo hiyo mara mbili.

Kwa upande wa Simba wazungu wote wawili, Patrick Aussems na Sven Vandenbroeck walitwaa tuzo hiyo ilikuwa namna hii:- Agosti:- Kocha alikuwa Salum Mayanga wa Ruvu Shooting mchezaji Meddie Kagere wa Simba.

Septemba:- Patrick Aussems wa Simba na mchezaji Miraji Athuman wa Simba.

Oktoba:-Zuberi Katwila wa Mtibwa Sugar na mchezaji Jafari Kibaya wa Mtibwa Sugar.


Novemba:- Kocha, Arstica Cioaba wa Azam FC na mchezaji Waziri Jr wa Mbao.

Desemba :-Kocha, Charles Mkwasa wa Yanga na mchezaji Francis Kahata wa Simba.

Januari:-Arstica Cioaba wa Azam FC na Sadala Lipangile anayekipiga KMC.

Februari:- Sven Vanderbroeck wa Simba na Vitalis Mayanga anayekipiga Ndanda

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic