March 10, 2020


BAADA ya Simba kunyooshwa na watani zao wa jadi Yanga, Machi 8 Uwanja wa Taifa kwa bao 1-0 wamebakiwa na kete 11 mkononi kukamilisha mzunguko wa pili ndani ya Ligi Kuu Bara.


Vigongo vyake vipo namna hii:-


Simba Vs Singida

Simba Vs Ruvu

Simba Vs Mwadui

Mbeya Vs Simba

Prisons Vs Simba

Ndanda Vs Simba

Namungo vs Simba

Simba Vs Mbao

Simba Vs Alliance

Costal Vs Simba

Polisi Vs Simba

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic