BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa alichokifanya mbele ya Simba ni sehemu ya kitu anachokipenda na imetokana na sapoti ya mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani.
Morrison, jana Machi 8, Uwanja wa Taifa alizima kelele za mashabiki wa Simba kwa kumtungua Aishi Manula kwa bao la mpira wa adhabu uliozama wavuni baada ya kuchezewa rafu na Jonas Mkude nje kidogo ya 18.
Morrison amesema:-"Nafurahi kufanya kile ambacho ninakipenda kwani tulijiandaa vizuri na kila mchezaji alikuwa tayari kuona tunashinda na hicho ndicho kimetokea, shukrani kwa mashabiki kwa sapoti," .
Yanga imeifunga Simba mabao 3-2 msimu huu wa 2019/20 baada ya ule wa kwanza timu hizo kutoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2.
Wazee wa povu leo kimyaaaa,Poleni sana mikia kwa kuponzwa na msemaji wenu kuwa mfunge midomo,ckujua hata uamuz mlitoa wapi wa kupiga kelele geto kwa Jangwani,
ReplyDeleteHio lugha yako inafanana na jinsi mnavyoendesha klabu yenu. Mtasahau ubingwa kwa misimu kibao inayokuja.
DeleteNajua bado wamefunga midomo
ReplyDeleteanachezea timu ya taifa gani huyo morrison
ReplyDeletePositive site, where did u come up with the information on this posting? I'm pleased I discovered it though, ill be checking back soon to find out what additional posts you include. deezer downloader apk
ReplyDelete