March 7, 2020


JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wapinzani wao wasifikirie kupata njia ya kutokea kwenye mechi yao ya watani itakayochezwa Machi,8 Uwanja wa Taifa kesho kwani na wao wamejipanga.
Mechi ya kwanza iliyochezwa Januari 4, Uwanja wa Taifa Simba ilikubali kulazimisha sare ya kufungana mabao 2-2.
Akizungumza na Saleh Jembe, Abdul amesema: “Wachezaji tumekubaliana kufanya kazi kwenye mechi zetu zote na sio ya Simba tu lazima tukaze ili kutoa burudani na kutimiza majukumu yetu wanaofikiria Simba itapata mteremko wasahau.
“Ushirikiano ndani ya timu ni mkubwa na kwa sasa tumeona ligi ni ngumu nasi lazima tukaze ili kupata matokeo,” amesema.
Abdul ametoa jumla ya pasi nne za mwisho za mabao ndani ya Yanga ambapo uwezo wake mkubwa ni kutumia mguu wa kuli

6 COMMENTS:

  1. HII BLOG IMETIA FORA KWAKWELI,YANI KATIKA VICHWA VYA HABARI 20,10 VYOTE VINAIHUSU YANGA YANI MPAKA AIBU NDUGU ZANGU ILA TUOMBE MUNGU SIMBA NI BRAND KUBWA SANA BONGO NA AFRIKA KWA UJUMLA,NA HATA WEWE MTANI UNALIJUA

    ReplyDelete
  2. Kopo tupu kamwe haliachi kelele.

    ReplyDelete
  3. Salehe jembe sasa imekuwa Kanda mbili blog .

    ReplyDelete
  4. Simba kishaanza kumuogopa kanda mbili,jinsi wanavyo andika maoni yao

    ReplyDelete
  5. Tuiogope timu mbovu. Tunawafunga tu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic