May 20, 2020

IKIREJEA Ligi Kuu Bara mastaa watano ndani ya Simba hawatakuwepo kikosi cha kwanza:- Clatous Chama kiungo mshambuliaji yupo Zambia.

Francis Kahata kiungo mshambuliaji yupo Kenya.

Meddie Kagere yupo Rwanda ni mshambuliaji. 

Luis Misquissone kiungo mshambuliaji yupo zake Msumbiji.

Sharaf Shiboub yupo zake Sudan ni kiungo mshambuliaji.

Nyota hawa wapo nje ya nchi na mipaka yao imefungwa hivyo ni ngumu Kurejea haraka na hata wakiweza Kurejea karantini inawahusu kwa muda wa siku 14 kutokana na Janga la Virusi vya Corona .

3 COMMENTS:

  1. Endelea na kampeni kanjanja. Utapewa pesa ya vocha.

    ReplyDelete
  2. Luis Miquisonne na Shiboub wapo hapa mjini, acheni uzushi!

    ReplyDelete
  3. Mkuu wa inchi kashasema hakuna karantini ukikutwa huna maambukizi usitudanganye

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic