May 5, 2020

PAUL Nonga, nahodha wa Klabu ya Lipuli, amesema kuwa kwa sasa amesepa ndani ya mkoa wa Iringa na kujichimbia Mbeya akiwa na familia yake. 

Nonga amesema kuwa aliondoka Iringa yalipo makao makuu ya timu ya Lipuli baada ya ligi kusimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona. 


“Nimeondoka Iringa kwani kambi tulivunja kutokana na janga la Corona, kwa sasa nipo Mbeya na familia yangu tukiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

Kwenye Ligi Kuu Bara Nonga amehusika kwenye mabao 15 ndani ya Lipuli inayotumia Uwanja wa Samora.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic