OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ameachana na mkewe na tayari ameshaolewa kutokana na presha kubwa kutoka kwa familia ya upande wa mke wake.
Manara amesema kuwa ana mpango wa kuoa mke mwingine ambaye atakuwa mzuri huku suala la tabia akiliweka kando kidogo.
" Kulikuwa kuna presha kubwa sana upande wa mke wangu hadi nikafikia kuamua kuachana naye.Siku chache baadaye nikasikia ameolewa, wala sikushituka kwa kuwa hili nilijua lilikuwa limeandaliwa na linakwenda kuwa hivi.
“Kwa sasa nasubiri kwanza lakini nitaoa na mwanamke ninayetaka kumuoa lazima awe mrembo sana. Nataka mwanamke mrembo hasa, suala la tabia litafuatia.”







Maisha yasonge mbele
ReplyDeleteMungu atakupa mwenye kheri na wewe. Unaweza ukakipenda kitu nacho haki a kheri nacho au kukichukia kitu chenye kheri nawe. Subira ni njema na Mungu ni mkubwa na ndie atayekuamulia kila lenye kheri kwako
ReplyDeletePunguza mdomo mchafu,kulopoka lopoka kwako itakua ngumu kukaa na mke
ReplyDeleteTatizo la kubwabwaja sana halafu kitandani sifuri ndio hilo.Pesa huna na kitandani hujuhi unategemea nini wewe hajj?Kaokote wale vichangu vya Tandale ulivyovizoea toka miaka ile huyo mrembo hutomuweza kudadadeki!
ReplyDeletekwani kitandan ulishampa akakuonesha? mbona unajiabisha?
DeleteTumieni lugha za staha. Hata kama ni mbaya wenu kiitikadi (simba na yanga), haipendezi
ReplyDeleteYaani haya maneno yote Hajji baada ya kusema ataoa mke mwingine?
ReplyDelete