UONGOZI wa Simba umesema kuwa hakuna uadui kati yao na Yanga bali ni ushindani tu ndani ya uwanja.
Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wengi wanashindwa kuelewa kwa kudhani kuna uadui.
"Wengi wanashindwa kuelewa kwamba hakuna uadui kati yetu na Yanga zaidi ni kwamba ni ushindani ndani ya uwanja hakuna kingine.
"Kwetu sisi Yanga na Simba sio dini ni klabu tu za mpira, nikiwa kizazi cha tatu chenye uhusiano wa moja kwa moja na Simba na Yanga, muda wote nawashangaa wanaosema Yanga na Simba ni maadui," amesema.
Kuna kitu ameshituka huyu na bd uadui ulikuwa unautengeza mwenyewe kwa maneno yako
ReplyDeleteKuna kitu ameshituka huyu na bd uadui ulikuwa unautengeza mwenyewe kwa maneno yako
ReplyDeleteVyombo vya habari ndo vinachochea uadui wa hizi timu
ReplyDeleteHakuna uadui. Washamba wasiojua historia ysctimu hizi ndio wanafikiri kuna uadui.Yanga na Simba ni watani wanaoshirikiana kwenye misiba na harusi.Wamekuja mashabiki kutokea mikoani wanatafsiri utani huu kuwa uadui. Mimi ni Yanga Simba ni watani wetu sio maadui zetu.Fuatilieni historia wacheni kufuata mkumbo.
ReplyDelete