June 28, 2020


UWANJA wa Sokoine
FT:Tanzania Prisons 0-0 Simba
Zinaongezwa dakika 6
Dakika 90 zimekamilika 
Dakika ya 83, Jeremia Kisubi anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 63 Erasto Nyoni anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 60 Vedastus Mwihambi anaonyeshwa kadi ya njano Dakika ya 49 Simba inapiga kona ya Kwanza inaokolewa 
Dakika ya 48 Sheva anafanya jaribio linaokolewa na
Kipindi cha pili HT:Tanzania Prisons 0-0 Simba
Zimeongezwa dk 2
Dakika 45 zimekamilika  Dakika ya 38 Kimenya anaonyeshwa kadi ya njanoDakika ya 33 Kimenya anapiga kona ya nne kwa Prisons Simba wakiwa hawajapata kona 
Dakika ya 30 Ezekia anapiga faulo inayokutana na mikono ya Manula
Dakika ya 23 Fraga anachezewa faulo inapigwa nabNyoni
Dakika ya 19 Prisons wanapiga faulo kuelekea kwa Manula Dakika ya 11 Manula anaokoa kona iliyopigwa na Kimenya. Dakika ya 7 Prisons wanapelekà mashambulizi Simba
Dakika ya 05 Manula anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 04 Kimenya alifanya jaribio lilipanguliwa na Manula
Dakika ya 01 Prisons walifanya shambulizi kali liliokolewa na Manula

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic