June 23, 2020


HAYA hapa matokeo ya mechi za leo zilizochezwa za Ligi Kuu Tanzania Bara, hali ya Singida United bado ni tete, yapokea kichapo tena mbele ya Mtibwa Sugar:-

 Ruvu Shooting 0-0 Ndanda SC, Uwanja wa Mabatini.

 Mbao FC 1-0 Coastal Union bao limepachikwa na Jordan John dakika ya 6 Uwanja wa Kirumba.

 Mwadui FC 3-0 Lipuli FC mabao yamejazwa kimiani na Isihaka Kauju dk 26 alijifunga, Wallace Kiango dakika ya 66 na Omary Daga dk 83 Uwanja wa Kambarage.

 Singida United 1-3 Mtibwa Sugar watupiaji ni Ramadhani Hashim dk ya 87 kwa Singida United, Boban Zirintusa dakika ya 7 na 25’, Riphat Msuya dakika ya 64 kwa Mtibwa Sugar, Uwanja wa Liti.

 Tanzania Prisons 2-2 JKT Tanzania kwa Prisons ni Adily Buha 47’ na Jeremiah Juma 83’ | Michael Aidan 16’, Mohamed Rashid 68' kwa JKT Tanzania.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic