MSIMAMO wa Kundi A wa Ligi Daraja la Kwanza, vita kubwa ni nafasi ya kupanda daraja jumlajumla ambapo Dodoma FC na Ihefu zote zinalingana pointi tofauti yao ikiwa ni kwenye idadi ya mabao. Zote zimebakiwa na mechi mbili mkononi ili kumaliza mzunguko wa pili na kumpata mshindi, cheki ulivyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment