June 24, 2020

7 COMMENTS:

  1. Kama kweli ulichukua pesa na unaogopa kuuwawa, si uzirudishe? Lakini kweli uuwawe kwa dola 5,000 tuu au umechota parefu?

    ReplyDelete
  2. Amechuwa pesa simba hao kandambili aka GONGOWAZI wanamfosi mbona hawajaweka mkataba ukaonekana hadharani wanaandika hako kakaratasi kao GONGOWAZI mnashida sana

    ReplyDelete
  3. Kisheria Hersi hana nguvu za kisheria kusaini doc za yanga, hiyo ni m8kataba binafsi kama ipo

    ReplyDelete
  4. Kufupisha stori mkataba uwekwe hadharani ili ijulikana nani mkweli na nani mwongo kati ya mchezaji na klabu. Vinginevyo ni kuendeleza malumbano yanayoathiri image ya timu

    ReplyDelete
  5. Huyu Jamaa Hatufai Mpira Anawez Ila Akili Hana

    ReplyDelete
  6. Muhimu viongozi wa hizi timu zetu wawe makini wanapodili na wachezaji wa kigeni, baadhi yao wako kimaslahi zaidi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic