June 19, 2020



MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema kuwa kwa sasa bado hawajapata ripoti kuhusu mechi ya JKT Tanzania na Yanga iliyochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma.

Kwenye mchezo huo, beki wa Yanga, Lamine Moro alionyeshwa kadi nyekundu kwa kosa la kumchezea mchezo usio wa kiuungwana Mwinyi Kazimoto.

"Bado kwa sasa hatujapata ripoti kuhusu mchezo wa JKT Tanzania dhidi ya Yanga kwani kuna muda maalumu ambao upo wa kuaandaa ripoti, bado masaa 48 hayajakamilika nina amini baada ya masaa hayo kupita tutakuwa na ripoti mezani," amesema.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic