June 22, 2020


KIKOSI cha Simba leo kimewasili salama Mbeya baada ya kuondoka leo Dar es Salaam.

Simba ilikwea pipa asubuhi ili kuwahi kufanya maandalizi dhidi ya mechi mbili zitakazopigwa Mbeya ambapo itaanza Jumatano, Juni 24 dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine.

 Simba itawafuata Mbeya City ikiwa na kumbukumbu za ushindi wa mabao 3-0 mbele ya Mwadui FC kwenye mchezo wao waliocheza Uwanja wa Taifa huku Mbeya City ikiwa na kumbukukumbu ya kufungwa bao 1-0 na Alliance.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic