YANGA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael ina kazi tatu za kufanya ndani ya Juni, kwenye mechi za Ligi Kuu Bara.
Ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kucheza mechi 27, hizi hapa ndani za Yanga:-
Juni 13, Mwadui v Yanga, Kambarage.
Juni 17, JKT Tanzania v Yanga, Jamhuri.
Juni 21,Yanga v Azam FC,Taifa.
Juni 24,Yanga v Namungo, Taifa
Vijora vinahusu hapo na kichapo juu.
ReplyDelete