JULAI 8 SIMBA KUPEWA ZAWADI YAO YA KOMBE LA LIGI KUU BARA, LINDI SHEREHE za ubingwa wa Klabu ya Simba kufanyika Julai 8 ambapo Simba itakuwa na mchezo dhidi ya Namungo. Mara baada ya mchezo huo Simba watakabidhiwa zawadi zao.
0 COMMENTS:
Post a Comment