FT:Simba 2-0 Azam FC
Zinaongezwa dk 2
Dakika 90 zinakamilika
Dakika ya 85 Simba wanaelekea kwa HauleDakika ya 72 Kipagwile anonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 70 Luis anagongesha mwamba shuti la faulo
Dakika ya 61 Luis anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 56 Chama anafunga Goal pasi ya Kapombe Dakika ya 46 Nyoni anaingia anatoka Kened Juma kwa Simba, Mudhathir anatoka anaingia Bryson Kipindi cha pili
Uwanja wa Taifa: Simba 1-0 Azam FCHT:Simba 1-0 Azam FC
Robo fainali Kombe la FA
Dakika 45 zimekamilika, imeongezwa dk 1
UWANJA wa Taifa
Kipindi cha kwanza
Simba 0-0 Azam FC
Dakika ya 40 Djod anafanya jaribio nje ya 18 linaokolewa na Manula Dakika 39 Goal Bocco asisti Kahata
Dakika ya 35 Chama anapiga kona ya tatu haizai matunda
Dakika ya 32 Chirwa anaotea
Dakika ya 31 Haule anaokoa hatari langoni mwake Dakika ya 28 Chama anapiga kona ya pili inaokolewa Dakika ya 23 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 22 Kahata anafanya jaribio linapaa mawinguni
Dakika ya 20 Tigere anapiga faulo inaokolewa
Dakika ya 16 Chama anafanya jaribio nje ya 18 linaokolewa Dakika ya 15 Haule anaokoa hatari
Dakika ya 14 Azam FC wanaingia 18 za Simba wanazuiwa Dakika ya 10
Dakika ya 6 Djod alichezewa faulo








Hongera sana Simba lakini mpira wa pasi fupi sana za kuendelea, mpira hukosa spidi na Mara nyingi rahisi kupokonywa na wepesi pia kuumia na huku Mnyama akikipata anachostahaki kama tulivo tegemeo wote. Kwa Mnyama kumetulia kama maji ya mtungi
ReplyDeleteAzam fc wanatakiwa kujua ya kuwa cioaba hawafai.. waanze kuwekeza kwa makocha na wanapomtafuta kocha wawashirikishe wadau wa soka..
DeletePia wanatakiwa kujua uwezo wa timu ni wachezaji wenye uwezo mkubwa.. wapo ila waongezwe tena viungo washambuliaji wawili a uwezo wa juu kama chama na luois wa simba pamoja na mshambuliaji mmoja mkali....
Delete