Hakuna kuligawa benchi la ufundi la simba kama Morrison taratibu zinarusu simba kumsaini basi wamsaini tena haraka. Kinachomsumbua Morrison kule yanga ni njaa tu hakuna kingine chochote sio Morrison tu wachezaji wengi wa Yanga wanachezea Yanga hivi sasa kwa ukubwa wa jina la timu sio Ukubwa wa maslahi kutokana na hazi yao. Morrison hamu yake kucheza kimataifa na yanga hawana nafasi hiyo. Ningeoshauri tu yanga kama wanaweza kukaa chini na simba wakayamaliza ya Morrison kuepuka kukosa chochote ndani ya mkataba Morrison kama upo. Simba nao katika kujipanga kimataifa inapaswa kuwachangamkia wachezaji wawili wa Gormahia ya Kenya Kenneth Muguna na kapteni msaidizi wake Onyango hawa ni wachezaji turufu Simba ikiwapata ni wachezaji wazuri hasa na uzoefu wa kimataifa.
Njaa ipo na kila siku utasikia wanao uwezo wa kusaini mchezaji yeyote na wa bei yoyote. Kweli watasaini wa bei mbaya lakini kutokana na mazingira yaliyoko hayakubaliki. Mbwa huifukuzia Gari huku akibweka lakini Jee anaweza kuimenteni na kuiendesha. Mchezaji akidai haki yake huitwa mkorofi. Molinga mtiifu, mfungaji bora Katika timu yake lakini hayo ndio yaliyomponza na ahsante yake kuzomewa na kunynyaswa kila kukicha na anapogaiwa nafasi ya kucheza, anacheza kwa juhudi na mapenzi ya juu lakini Morrison Ana kila Aina ya vituko na anaogopwa
Simba hahitaji kocha mpya kwa sasa bali wanahitaji wachezaji kadhaa wa kuja kuziba mapungufu na madhaifu ya Simba ya muda mrefu sasa ili kujiandaa na klabu bingwa Africa hasa katika eneo la beki na kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaj kwa kuleta mtupiaji makini. Na kama kocha wa simba wa sasa ataondoka basi ni kutokana kuona mapendekezo yake hayafanyiwi kazi asije kubebeshwa lawama za bure ni kocha makini.
Hakuna kuligawa benchi la ufundi la simba kama Morrison taratibu zinarusu simba kumsaini basi wamsaini tena haraka. Kinachomsumbua Morrison kule yanga ni njaa tu hakuna kingine chochote sio Morrison tu wachezaji wengi wa Yanga wanachezea Yanga hivi sasa kwa ukubwa wa jina la timu sio Ukubwa wa maslahi kutokana na hazi yao. Morrison hamu yake kucheza kimataifa na yanga hawana nafasi hiyo. Ningeoshauri tu yanga kama wanaweza kukaa chini na simba wakayamaliza ya Morrison kuepuka kukosa chochote ndani ya mkataba Morrison kama upo. Simba nao katika kujipanga kimataifa inapaswa kuwachangamkia wachezaji wawili wa Gormahia ya Kenya Kenneth Muguna na kapteni msaidizi wake Onyango hawa ni wachezaji turufu Simba ikiwapata ni wachezaji wazuri hasa na uzoefu wa kimataifa.
ReplyDeleteNjaa ipo na kila siku utasikia wanao uwezo wa kusaini mchezaji yeyote na wa bei yoyote. Kweli watasaini wa bei mbaya lakini kutokana na mazingira yaliyoko hayakubaliki. Mbwa huifukuzia Gari huku akibweka lakini Jee anaweza kuimenteni na kuiendesha. Mchezaji akidai haki yake huitwa mkorofi. Molinga mtiifu, mfungaji bora Katika timu yake lakini hayo ndio yaliyomponza na ahsante yake kuzomewa na kunynyaswa kila kukicha na anapogaiwa nafasi ya kucheza, anacheza kwa juhudi na mapenzi ya juu lakini Morrison Ana kila Aina ya vituko na anaogopwa
ReplyDeleteKaligawa hilo benchi lao hao kandambili aka GONGOWAZI sio sisi acheni kudanganya watu ili muuze hilo jarida lenu
ReplyDeleteSimba hahitaji kocha mpya kwa sasa bali wanahitaji wachezaji kadhaa wa kuja kuziba mapungufu na madhaifu ya Simba ya muda mrefu sasa ili kujiandaa na klabu bingwa Africa hasa katika eneo la beki na kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaj kwa kuleta mtupiaji makini. Na kama kocha wa simba wa sasa ataondoka basi ni kutokana kuona mapendekezo yake hayafanyiwi kazi asije kubebeshwa lawama za bure ni kocha makini.
ReplyDelete