July 8, 2020


FT: Kagera Sugar 0-1 Yanga
Kaitaba
Dakika ya 78 Goooool Morrison 
Dakika ya 74 Kagera Sugar wanaingia ndani ya 18 wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 56 Ikpe anaingia anatoka Makame, Nchimbi anatoka anaingia Sibomana 
Dakika ya 54, Yanga wanapata faulo nje ya 18 baada ya Morrison kuchezewa faulo
Dakika ya 49 Kaseke anafanya jaribio linaokolewa na Tinocco 
Dakika ya 45 Roth anaingia anatoka Eric
Kipindi cha pili kimeanza 

Mapumziko 
Dakika ya 45 zimekamilika zinaongezwa dakika 2Dakika ya 42 Kagera Sugar wanaanzisha safari kwenda Kwa Shikhalo
Dakika ya 33 Nyosso anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Morrison
Dakika ya 30 Yanga inapata faulo baada ya Morrison kuchezewa faulo haizai matunda
Dakika ya 24 Kagera Sugar wanafanya jaribio linaokolewa na mlinda mlango wa Yanga.

Dakika ya 20 Yanga wanaanzisha mashambulizi kwenda kwa Kagera Sugar

Dakika ya 15 Kagera Sugar wanalifuata lango la Yanga
Dakika ya 05 Kipa wa Kagera anaokoa shuti
Dakika ya 03 Morisson anapiga kona baada ya kipa wa Kagera Sugar kuokoa hatari
Uwanja wa Kaitaba


Kagera Sugar 0-0 Yanga

Kipindi cha kwanza

Mashabiki wamejitokeza kutazama mchezo wa leo ambao una ushindani mkubwa ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic