August 12, 2020

19 COMMENTS:

  1. Imeisha hiyo. Hatavhiyo rufaa yenyewe mtafoji wazee wa kufoji.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga wanashangaza kwa ujinga lakini imethibitika sasa kuwa yanga ya sasa inaendeshwa kitapeli. Hata hii habari yakusema Yanga itakata rufaa ni utapeli mtupu kutoka kwa wanaoisimamia Yanga kuwalaghi wanachama na wapenzi Yanga ionekane kana kwamba vile Yanga imedhulumiwa wakati ukweli ni kwamba katika suala hili la Morrison ni busara tu ndio iliotumika kuinusuru Yanga la sivyo Yanga ingeshuswa daraja. Hata ule usajili wa Senzo ni geresha tu kujaribu kufunika uvundo wa suala la Morrisoni. Na mimi siamini kama suala la Morrissoni litaiacha salama Yanga kutoka kwa wenye vyombo husika vinavyoshughulikia makaosa ya jinai. Unaambiwa Yanga wamefoji hata mktaba wa miezi sita wa Morrison na ushahidi wa matukio upo kama vile tarehe ya mikataba na ujio wa Morrison nchini Yanga wakamshitaki nani labda wakajishtaki wao wenyewe .

      Delete
  2. sawa nendeni kokote.. ulishaona wapi sehemu ya sahihi inakatwa? lengo likikuwa ni kuchukua sahihi ya mkataba wa miezi sita ikapachikwa pale pa miaka miwili.hiyo ni forgery sawa na mtu meinginge kuiga sahihi ya mwingine..Mlitoa barua kama hiyo siku Morrison alisjiliwa Simba.

    Inawezekana kweli Yanga wameandika barua wenyewe wakijidai ni Sure Boy eti wanataka Azam imrihusu.

    ReplyDelete
  3. Acheni ujinga mlishafanya makosa sasa mnataka kurudia makosa tulieni

    ReplyDelete
  4. jifunzeni kuweka sahihi....mnarudia tena official documents hazina sahihi...mbumbumbu kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkuu, sio kwamba document haikuwa na sahihi tangu mwanzo, ila baada ya kuona mambo mazito waliichana pembe yenye sahihi ya mchezaji iliyofojiwa. Kumbuka maneno ya Mwenyekiti wa Kamati, amesema mapungufu mawili, kwanza hakuna sahihi ya mchezaji, pili karatasi imechanwa sehemu ya kuwekea sahihi ya pili. Unganisha hizo sentensi...

      Delete
  5. Rufaa ipelekwe mahamani ili wajulikane walioghishi pamoja a wale walionyofoa ile sehemu ya sahii na wazee walisema kuchamba kwingi huondoka na mavi

    ReplyDelete
  6. Yanga wasitake kukipalia makaa kwa huo uamuzi wao. Washukuru wameponea chupu chupu waache mbo yaishe kiutu uzima vinginevyo makubwa yatawakuta

    ReplyDelete
  7. Waache mambo yaishe kiutu uzima, wasitake kukipalia mkaa

    ReplyDelete
  8. Hawana lolote Zaid tu wanataka kuwapotezea mashabiki wao ili watulie wawaone wapo sahihi

    ReplyDelete
  9. Enter your comment...inaonyesha namna gani management ya yanga ni dhaifu katika kufanya kwa weledi club haiwezi kuleta ushindani kwa hali hii pia namashaka na wanasheria wao.

    ReplyDelete
  10. Enter your comment...yanga waache ujanja ujanja tangu lini mchezaji anatambulishwa na wadhamini na mikataba sio jambo rahisi kihivyo linahitaji watalamu siioni yanga kuchuana na simba kama wataendelea hivi they need to change.

    ReplyDelete
  11. Sasa kwa nini walichana hiyo karatasi?ili kupoteza ushahidi au iweje? Hata sielewi dhumuni lilikuwa ni nini? Na wanakata rufaa kuhusu nini hasa? maelezo ya hukumu yametolewa na imeeleweka.Ubabaishaji wa viongozi wetu wa kutompa mzigo wa maana ndio tulichovuna.Wasitake kutupooza kuwa wanakata rufaa isiyokuwa na mashiko.Wana Yanga tubadilike na tukiendelea na mihemko hii basi hatutapiga hatua mbele zaidi ya kulialia tunaonewa mara TFF Simba wakati Mwenyekiti wa kamati ya sheria aliyetoa hukumu siku ya leo ni mwanayanga mwenzetu na isitoshe mjumbe wa kamati Hans Pope alitolewa nje...hivi kweli bado tumeonewa? msitufanye mazuzu.

    ReplyDelete
  12. Majibu yatapatikana uchaguzi mkuu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar Oktoba...sauti ya umma sauti ya Mungu! Haki hainyimwi ila hucheleweshwa....

    ReplyDelete
  13. Tatizo viongozi wa yanga sijui walijuwa bernad morissoni ni kuku wanyama wakampa mkataba wa miezi 6 then eti Yikpe akapewa miaka 2 mkadai ni mdogo wake Drogba anapiga miguu yote kumbe hovyo kabisa, ili la morissoni ni funzo kuwa viongozi wenu wanaleta tabia za bongo movie wao kila siku maigizo, mliona wapi mchezaji bora anapewa mkataba wa miezi 6 alafu eti mnakata rufaa kwa lipi iyo ni aibu tu mnataka kuwa danganya mashabiki wenu ili muonekane mmeonewa uyu GSM ata waburuza sana tu maana viongozi wenu hawana sauti kila siku ni GSM wanapiga kelele tu mwenyekiti wenu yupo tu kimya amjiulizi, kateni rufaa naona mnataka kumfata pacha wenu singida utd lig daraja la kwanza

    ReplyDelete
  14. Duala langu ni hili: Kutokana na Morrison kuilaza Yanga, hii ina mana imeshakuwa usajili wake kwa Simba ni rasmi umeshakubalika au itangojewa matokeo ya rufaa ya Yanga?

    ReplyDelete
  15. Na huko Fifa watakitaka hicho kikaratasi walichokinyofoa na hapo ndipo ngoma itapoanza na Morrison kucheza ngoma

    ReplyDelete
  16. Huenda mkurugenzi mpya Kutoka Simba ndio keshaanza kazi yake

    ReplyDelete
  17. Wanatishia tu kwani wanajuwa vizuri wakeda wanakwenda kujitia kitanzi wenyewe na kwa mikono yao.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic