August 28, 2020


 KOCHA wa zamani wa Kenya, Harambe Stars, Adel Amrouche raia wa Ubelgiji amesema Onyango ni kati ya mabeki bora aliowahi kuwanoa na wanaombeza wataona tofauti pale atakapoanza kucheza.


Amesema kawaida Onyango hana mvuto kwa mashabiki badala yake ana mvuto mkubwa kwa watu wa ufundi kwa maana ya makocha.

Onyango amejiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya kwa kandarasi ya miaka miwili na mchezo wake wa kwanza ulikuwa dhidi ya Vital'O ya Burundi ambapo Simba ilishinda mabao 6-0 Uwanja wa Mkapa
.

Amrouche amesema:"Ni miongoni mwa wachezaji wazuri ambao hawavutii nje ya uwanja lakini uwezo wao ni ndani ya uwanja hivyo nina amini atafanya makubwa ambayo wengi hawataamini."


5 COMMENTS:

  1. Wanaombeza ni wale washabiki wa timu fulani fulani ambao wana stress lakini wanajifanya wanafuraha, kwa hiyo ili kupunguza stress wanaongea maneno ya taarabu ili wajibizane na Simba wayoe matusi ili stress wakijua kwamba watapunguza stress, mi nashangaa washabiki wa simba wanaojibizana nao.

    ReplyDelete
  2. Yanga hata Okwi aliporejea tena w kasema ni Mzee na Kagere pia walisema Mzee na wakakiona Walichokifanya wachezaji ambao majina yao hayatatosahaulika Katika tarehe ya mpira wa Tanzania

    ReplyDelete
  3. Gongo wazi ongeeni weeee wanaume tunatwaa makombe tu Kama kawa.

    ReplyDelete
  4. Ni timu pekee barani Africa inayosajiri vikongwe na kuanza kuwanunulia mechi za ndani. Na kuweka dawa. Inapigwa bao 15 nje. Kwa ujumla ni timu ya maajabu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic