August 28, 2020



 

KLABU ya Yanga imemtambulisha Zlatico Krmpotick kuwa Kocha Mkuu wa Yanga akibeba mikoba ya Luc Eymael aliyekuwa akikinoa kikosi hicho.

Kocha huyo anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa amepewa dili la miaka miwili kuinoa Klabu ya Yanga.

Kwa mujibu wa Injinia Hers Said amesema kuwa wamefikia makubaliano ya kumpa kandarasi kocha huyo baada ya kamati kujadili na kupitia majina ambayo walikuwa nayo.

Amewahi kuwa bingwa wa Klabu bingwa wa Afrika akiifundisha TP Mazembe pia alikuwa akiinoa Klabu ya Polokwane City.


6 COMMENTS:

  1. HATA WAMLETE KLOPP NA MSAIDIZI WAKE AWE FLIK KWA YANGA HII KIPIGO KIKO PALE PALE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sawa madera fc tumekuelewa titafitie wewe kocha

      Delete
    2. Acha comment za kimama fuatilia mpira uwanjani sio kwa manara

      Delete
  2. Haya Mikia karibuni umbeya kwani ulitaka tusiwe na Kocha wa mpiga chabo?

    ReplyDelete
  3. Mara utasikia keshafika, Mara utasikia atafika kesho na mwisho utasikia kaomba baada ya miezi sita amalize matatizo ya famili na mwisho kapigwa chini. Morrison anawanyima usingizi na umakini

    ReplyDelete
  4. Maskini wee utopolo wanatapatapa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic