Mapema leo Agosti 30, 2020 Mkuu wa kitengo cha Masoko Global Publishers, Adam Antony ameongoza zoezi la kuwakabihi tiketi za kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi.
Walikabidhi mashabiki ambao walikutwa wakilisoma gazeti hilo katika viunga vya Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment