August 23, 2020


MICHAEL Sarpong mchezaji mpya wa Klabu ya Yanga amesema kuwa anafurahi kujiunga na Yanga na anaamini kwamba atapambana kufikia malengo ya timu hiyo.

Sarpong raia wa Ghana yeye ni mshambuliaji amemalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili na anatarajiwa kutambulishwa rasmi Agosti 30 kwenye kilele cha Wiki ya Wananchi Uwanja wa Mkapa.


Anaungana na wachezaji wengine wawili ambao ni Tusila Kisinda na Tunombe Mukoko ambao wanatarajiwa kuanza rasmi mazoezi kesho, kuungana na wachezaji wenzao ambao tayari walishaanza mazoezi tangu Agosti 10.


Nyota huyo amesema:"Ninafurahi kuwa mwanafamilia wa Yanga ninatambua kwamba ni timu kubwa na ina wachezaji wengi wazuri hivyo nitakachofanya ni kutimiza majukumu yangu kwa kushirikiana na wachezaji wenzangu." 

13 COMMENTS:

  1. Shime jamani huyo atenganishwe kabisa na Morrison asije akamrubuni Mgana mwenzake tukaondokea patupu tena

    ReplyDelete
  2. Hamjiamini Utopolo. Kila siku kutafuta visingizio na njama dhidi yenu.Mpira unachezwa uwanjani. Wacheni mpira wa vyumbani kwenye mablog na magazetini.

    ReplyDelete
  3. Kuma we sasa pale kwenu mikia fc mmesajiri usajiri gani wa maana?? Suburi mtoke nje ya Tanzania ndo mtafirwa mpaka mnye.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inaonyesha kabisa ndiyo wale jamaa aliwaita Mbwa na Nyani maana huna ustaarabu kabisa!!!

      Delete
    2. Acha matusi unapepo wewe, njoo nikuongoze Sara ya Toba

      Delete
  4. Unknown August 23,2020 at 4:4PM, acha matusi, hii ni blog huru na inasomwa na wengi. Acha matusi, acha matusi.

    ReplyDelete
  5. Matusi yanakufanya uonekane wewe ni mtu wa ovyo. Humu wanasoma watu wengi na heshima zao sio kama wewe mwenye matusi

    ReplyDelete
  6. Mimi nadhani mh ukiona unatukana umekosa mawazo

    ReplyDelete
  7. Kwanini ucblock hiyo namba au TCRA ana haribu blog yako

    ReplyDelete
  8. Enter your comment...matusi si mazuri na siungi mkono ila simba woooote ni vichaa nyie mnadhani mnaogopwa,mnawaita wenzenu nyani na hiyo tcra ipo tu na wakati hizo tabia zilikatazwa mnajitakia wenyew yanga wamechoka sahizi mjitathmini hamna anayewaogipa nyie zero kabisa,mkiongea hivyo nyie et watu wakae kmy nyie kina nani kny nchi hii,pumbavu kabisa

    ReplyDelete
  9. Wale wale, sasa ndio umesema nini na matusi tena ya nini

    ReplyDelete
  10. Huyo jamaa anasema Ana furaha kujiunga na yanga, naipenda kumwambia kuwa hata Molinga ambae juu ya kuwa bingwa wa mabao wa timu hiyo yukowapi leo na kuwa aliipenda yanga yuko wapi leo. Alizomewa na kungolewa kama jina bovu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic