August 29, 2020


 Muigizaji wa filamu ya Black Panther, ya mwaka 2018, Chadwick Boseman ametangulia mbele za haki kwa tatizo la Kansa.


Nyota huyo alijipatia umaarufu kupitia filamu amefariki akiwa na umri wa miaka 43, jana Ijumaa.


Kifo chake kimewashtua mastaa wengi ikiwa ni pamoja na Oprah Winfrey ambaye anaandika kupitia Ukurasa wake wa Twitter kuwa:Nafsi yako na ipumzike katika amani.


Filamu ya Wakada ilipata umaarufu duniani kutokana na kuigiza mila za kiafrika.Hashtag yake ilikuwa ni Wakada Forever.

1 COMMENTS:

  1. Ni "Wakanda" sio wakada mwandishi Fanya research kabla hujaandika habari

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic