September 30, 2020

 



TIMU ya KMKM SC ya Zanzibar  imewasili leo Septemba 30 Dar tayari kwa mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Mchezo huo wa kirafiki unatarajiwa kupigwa majira ya saa 1:00 usiku ukiwa na malengo ya kukiweka sawa kikosi cha Yanga kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara.

Mechi hiyo kiingilio cha 5,000 mzunguko na 10,000 VIP. 


Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Zlatko Krmpotic ipo kwenye maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 3, Uwanja wa Mkapa.

2 COMMENTS:

  1. Kwa jinsi nilivowona KMKM Ingekuwa Mnyama basi angewachapa si chini ya mabao sita

    ReplyDelete
  2. Africa lyon na Mtibwa ilikuwaje ,Wanacheza Wanaumme unataja paka mla jalalani na Panya.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic