January 20, 2020


Baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara juzi, mashabiki wengi wa Yanga wamefunguka wakiutaka uongozi wa timu hiyo uachane na kocha mpya.

Hasira za kutaka maamuzi hayo yafanyike ni kutokana na kupoteza mechi mbili mfululizo chini ya Luc Eymael.

Kabla ya kupoteza dhidi ya Azam, Yanga ilipoteza pia mechi ya nyuma yake iliyokuwa dhidi ya Kagera Sugar ambayo ilifungwa kwa mabao 3-0.

Kutokana na mwendelezo wa matokeo hayo, wengi wao wamesema ni vema kazi hiyo akaendelea nayo Mkwasa sababu alianza kuirudisha timu katika morali tofauti na Luc ambaye amekuja kuanza upya.

10 COMMENTS:

  1. Tulieni jamani kwa mtindo huu vipi tutachukuwa ubingwa na lazima tuthami Mabilioni yaliyoangamia Katika usajili, Jee hao wahisani kwa hali hii watakuwa radhi

    ReplyDelete
  2. HAPA KUNA TATIZO TENA KUBWA SANA,YANGA MSIPOANGALIA HUYO MDHAMIN WENU ATAJITOA MAPEMA SANA 1:KOCHA MLIEMPA DHAMANA YAKUSIMAMIA TIMU ANAONEKANA MAPEMA KABISA KWAMBA HANA UWEZO WA KIMBINU WAKUMSHINDA MWINYI ZAHERA HIVYO MNATAKIWA MFANYE TATHIMIN YA GHARAMA MNAZOMPA KOCHA WA SASA NA AINA YA MATOKEO MNAYOYAPATA KAMA HAVIENDANI HAPO LAZIMA KUTAFUTA SULUHU YA KUDUMU KUONDOA HILO TATIZO,KWA ALIVYOKUA ANAJITOA MWINYI ZAHERA KABLA HATUJAENDA KUANGALIA UBORA WA KIKOSI HAKUSTAHILI KUFUKUZWA.2:WAKATI YUPO MWINYI ZAHERA KIKOSI CHA YANGA HAKIKUA BORA KAMA KILIVYO SASAHIVI,KWA MAANA HIYO KINAPASWA KUA NA MATOKEO BORA ZAID KULIKO YA KIPINDI CHA ZAHERA NA KAMA INAENDA TOFAUTI PIA FANYENI TATHIMIN NA MTAFUTE SULUHU YA KUDUMU YA TATIZO HILO.MAONI NA USHAURI MKWASA ANGEENDELEA KUKAIMU NAFASI HII MPAKA PALE KOCHA MWENYE UWEZO WA KIMBINU ANGEPATIKANA MAANA YAKE INAONEKANA YANGA MMEKURUPUKA KWENYE HILI SUALA.3:KAMA ITASHINDIKANA NI BORA ZAHERA ARUDI YANGA KULIKO UJINGA UNAOENDELEA HAPO JANGWANI,JARIBUNI KUONYESHA UTU KWA ZAHERA KWA KILE ALICHOKUA ANAIFANYIA YANGA INAWEZEKANA NAFSI YAKE INA KINYONGO SASA HAPA KIDOGO TUNAWEZA TUSIFIKE POPOTE,SITAKI KUANIKA ALICHOKIFANYA ZAHERA KWA YANGA KWANI KILA MJA MWENYE AKILI NA ALIEKUA ANAFUATILIA MPIRA ANAJUA LEO HII MNAMFUKUZA IKIWA MAZINGIRA NDIO YALIYOKUA MABOVU KWENYE CLUB.4:YANGA NI TIMU KUBWA SANA NA MARA NYINGI SANA IMEKUA HAIKOSEI KWENYE SUALA LA USAJILI,IMEKUA IKISAJILI WACHEZAJI WENYE MAPENZI NA TIMU NA SIO WAPIGA PESA TOFAUTI NA MAJIRANI ZETU IKA SAFARI HII KIDOGO NAONA KAMA TUMEBUGI,NASEMA HIVI KWASABABU INAONEKANA WACHEZAJI WENGI WALIOSAJILIWA MSIMU HUU WA DIRISHA DOGO SIO WALE TULIOWAZOEA,TENA INAONEKANA VIWANGO VYAO NI BORA HATA NA AKINA MOLINGA NA PS2 PATRICK SIBOMANA,HONGERA KWA WACHEZAJI WA NDANI HAMJAKOSEA HATA KIDOGO WACHEZAJI WA NDANI WOTE MLIOWASAJILI NI WALE WANAOJITOA NAKUIPENDA YANGA ILA HAPO KWENYE KIMATAIFA HAKUNA KITU KWAKWELI JARIBUNI KUANGALIA IKWEZEKANA TIMUA WACHEZAJ RUDISHA ZAHERA GSM WAMTENGENEZEE MAZINGIRA KOCHA ALAFU MTAKUJA KUTOA MREJESHO HAPA.ZAHERA NI KOCHA TENA KOCHA BORA WA MUDA WOTE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe si mkweli waachie Yanga watatue matatizo yao kwa amani na kwanamna iliyo na manufaa na wao. Siyo kuwarudishia Zahera. Wanaishi kwa slogan daima mbele nyuma mwiko

      Delete
  3. Wanayanga wenzangu najua tunamaumivu mkari hasa sisi washabiki. Ila ninachoomba tuwe watulivu maana tutakapokuwa na jaziba kiasi hicho tutapoteza kila kitu maoni yangu Viongoz, benchi la ufundi, makocha wote kwa ujumla na wachezaji wakae wajadili shida no Nini? Haiwezekani Kama tuko poa alafu tumepoteza mechi tatu mfulurizo ukianza na ile ya Mtibwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe si mkweli wachache Yanga wao wenyewe watatue matatizo yao wenyewe kwa amani wakiishi kauli mbiu....daima mbele nyuma mwiko

      Delete
  4. Wanayanga wenzangu najua tunamaumivu mkari hasa sisi washabiki. Ila ninachoomba tuwe watulivu maana tutakapokuwa na jaziba kiasi hicho tutapoteza kila kitu maoni yangu Viongoz, benchi la ufundi, makocha wote kwa ujumla na wachezaji wakae wajadili shida no Nini? Haiwezekani Kama tuko poa alafu tumepoteza mechi tatu mfulurizo ukianza na ile ya Mtibwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe si mkweli wachache Yanga wao wenyewe watatue matatizo yao wenyewe kwa amani wakiishi kauli mbiu....daima mbele nyuma mwiko

      Delete
  5. Tulieni Yanga kocha ni mzuri tena sana apewe muda.kumbuka hata Azam walimfukuza huyu kocha wao kwa kukurupuka wakajua walifanya makosa ikabidi wamrejeshe, wayameze tena mapishai waliyoyatapika. Kocha huyu ni bonge la kocha ila atafutiwe kocha mzawa haraka kama walivyofanya Simba.Ila hata mimi kwa maoni yangu naona Zahera hakupaswa kuondoshwa ila ndio hivyo tena. Huu uongozi mpya wa Yanga ni watu wa mpira wasipokuwa makini watapata aibu.

    ReplyDelete
  6. ZAHERA HANA JIPYA LA KUISAIDIA YANGA KIUFUNDI UWANJANI HATA MKWASA YUPO JUU KULIKO ZAHERA

    ReplyDelete
  7. Ha ha ha ha ha unajidanganya kijana,ZAHERA ni bonge la kocha

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic