September 9, 2020

 



MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Patrick Sibomana amesaini dili la mwaka mmoja kuitumikia Klabu ya Polisi Rwanda ya Rwanda.


Timu hiyo inashiriki lia Ligi Kuu ya nchini Rwanda na awali ilikuwa inaelezwa kuwa angetua ndani ya Klabu ya SC Kiyovu.


Nyota huyo mwenye miaka 25 ameibuka ndani ya Polisi Rwanda baada ya kuvunjiwa mkataba wake na Yanga kutokana na kutokubali uwezo wake .


Akiwa Yanga, msimu wa 2019/20 alitupia jumla ya mabao sita ndani ya Ligi Kuu Bara kati ya mabao 45.

3 COMMENTS:

  1. Duh anaachwa mfungaji mzuri na anabakizwwa Ditrim Nchimbi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huwezi kumlinganisha Sibomana na Nchimbi.

      Delete
    2. sibomana mzuri kuliko mnchimbi

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic