September 9, 2020

4 COMMENTS:

  1. hivi mheshimiwa kwenye hii habari kulikuwa na umuhimu wa kuweka picha ya Yanga? Au ni kuonyesha ushabiki wako?
    Elewa blog yako inasomwa na watu wengi wanaoshabikia timu mbali mbali.
    Tafuta muda na uhesabu picha za Yanga katika blog hii ukurasa wa kwanza ti..ukweli kuwa ndizo zinaongoza kuliko habari za timu zingine...Sasa tumekuwa kama magazeti...Tanzania Daima kuandikia wasomi wake na Uhuru kuandikia wasomi wake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha lawama wewe kwani akiweka picha ya yanga unajjsikiaje? Acha nongwa

      Delete
  2. Sasa ulitakawaweke picha za team zote, pangetoosha?
    Pia mwanfishi anahaki ya kuchangua picha inayouza, unataka aweke picha zisizo pendeza, nani ataangalia habari yake.

    Kuna team picha zao zinavutia hata kwa mashabiki wa team pinzani.

    ReplyDelete
  3. hiyo siyo habari ya Yanga tuu..angeweka picha ya TFF
    kinachoendelea ni umbumbumbu aliousisitiza Luc..
    kuweka weka andika andika picha za Yanga haisaidii chochote...mpira ni uwanjani

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic