YANGA leo Septemba 19 imeibuka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
Bao pekee la ushindi lilifungwa na Tonombe Mukoko dakika ya 72 kwa pasi ya Tuisila Kisinda ndani ya 18.
Ushindi huo unaifanya Yanga kuwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo baada ya kufikisha jumla ya pointi saba kibindoni na imefunga jumla ya mabao matatu.
Kagera Sugar ni mchezo wake wa pili kupoteza ikiwa Uwanja wa Kaitaba kwa kuwa mchezo wake wa ufunguzi ilifungwa bao 1-0 mbele ya JKT Tanzania Uwanja wa Kaitaba na leo imefungwa bao 1-0 mbele ya Yanga.
Hizi hapa takwimu za mchezo wa leo:-







Hongereni UTOPOLO
ReplyDeleteKuna watu wana'post' vitu vya kukosoa benchi la ufundi kila yanga inapocheza. Sasa sijajua ni wanachama na mashabiki wa yanga au vipi. Kama ni wa klabu ingine basi wawe waungwana kwa kutoingilia majukumu yasiyowahusu. Waacheni wachezaji na benchi wafanye kazi yao.
ReplyDeleteHao ni mikia tuwapuuze maana huwez kosoa timu inayoshinda japo ni uahindi mwembamba
DeleteUtopolo acheni polojo,ninyi ndo mnaongea sana kukosoa team nyingine wkt ninyi bdo Ni viazi
DeleteKweli vyura fc,
Deletemanyani fc hayaoni makundu yao wanataka waone ya wenzao
Kumfunga mchovu anayedunguliwa kwao mnaongea?
DeleteTFF ongeeni na Kilimanjaro wairudishe Ile michuani ya Nani mtani jembe. Ushindani wetu usiwe polojo bali uwanjani.Utopolo wanabweka kushinda mechi 2 kwao wameshabeba.
ReplyDeleteIhefu wamefungwa na Mtibwa
ReplyDeleteSasa Best mkia mrefu wewe unataka Ligi yote ichezwe Simba na Yanga tu kila SIKU ,najua mechi zikiwa za ligi hutufungi bt hayo ya sijui Mtani jembe mnayawezea cse ninyi Timu yenu Kama janjawidi ,michezo mingine Bonanza inahitaji friendly approach bt wenzetu hamnaga dogo Ni ma opportunist mkituvizia mnaharibu sana kwenu once it's against Yanga Ni Vita tu Mnashangazaaa mbwa Koko kavizia sufuria la nyama.Mbona BIA tunakunywa pamoja ?
ReplyDelete😆😆😆 siyo hiyo tu, michuani ya Tusker nayo irudi, mnaongea sana wakati ninyi Ni wachovu wa muda mrefu. Ukirudishwa hii itawajenga kdg maana ninyi hata mechi za kirafiki kwenu hamuezi kuandaa kwasababu ya ukata, tff rejesheni hii michuano kuwanusuru utopolo ukata umewazidi
DeleteTatizo ninyi mnachanganya Bonanza watu wanakula mayi Sasa ninyi mnavuta Jani mikia hamna Ustaraabu mnaripua bomu watu wanaswali ndo maana nikawaita Janjawidi.
ReplyDelete