April 30, 2021


 DROO ya hatua ya robo fainali imepangwa leo Aprili 30 nchini Misri ambapo tayari wawakilishi wa Tanzania, Simba wametambua watakutana na timu ipi.

Ni Kazier Chiefs FC ya Afrika Kusini ambayo itamenyana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, raia wa Ufaransa.


Mchezo wa kwanza utachezwa nchini Afrika Kusini kati ya Mei 14 na 15.

Mchezo wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kati ya Mei 21 ama 22, Uwanja wa Mkapa.

7 COMMENTS:

  1. Mungu saidia simba avuke kigingi hiki

    ReplyDelete
  2. Mungu ataamua nani abaki nani aende Mungu ibaliki simba yetu👌

    ReplyDelete
  3. Safi sana tukianzia kwao, kwa Mkapa hawachomokiiiii

    ReplyDelete
  4. tunayo matumaini ya kusonga mbele katika michuano hii. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki SIMBA.

    ReplyDelete
  5. Mungu ni Mkubwa na muweza

    ReplyDelete
  6. Simba huyoooo nusu fainali

    ReplyDelete
  7. Mungu ibariki Tanzania na Simba ifuzu next stage

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic