Dakika ya 72, Lamine anacheza faulo ndani ya 18 kwa Jeremia, mwamuzi anapeta
Mapumziko
Kombe la Shirikisho
Tanzania Prisons 0-0 Yanga
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45 Carinhos anapiga faulo inaokolewa na Prisons
Dakika ya 43, Lamine anaanza na Mnata
Dakika ya 41, Mauya anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dakika ya 40 Lamine anaanua majalo
Dakika ya 39, Prisons wanapata kona, Michael Ismail wa Prisons anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 37 Jeremia Juma anapokwa mpira, Nchimbi anapokwa mpira na Vedastus
Dakika ya 36 Fiston anafanya jaribio linaokolewa
Dakika ya 33 Asukile anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Nchimbi
Dakika ya 32 Kimenya anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dakika ya 30 Carinhos anapiga kona inapanguliwa na Jeremiah
Dakika ya 22 Nchimbi anachezewa faulo nje kidogo ya 18, Yacouba anapiga kichwa mpira wa juu unakwenda nje ya 18
Dakika ya 21 Prisons wanafanya jaribio linaokolewa na Mnata
Dakika ya 20, Jeremiah Ally anafanya jaribio linaokolewa na Metacha Mnata
Dakika ya 19, Carinhos amepiga faulo inakutana na kichwa cha Ninja inakwenda nje ya 18
Dakika ya 17 Carinhos anapeleka mbele majalo yanaokolewa
Dakika ya 15 Adeyum anafanya jaribio nje ya 18 linakwenda nje ya lango
Dakika ya 13 Benjamin Asukile anapeleka mashambulizi Yanga, Yacouba anaotea.
Dakika ya 12 Yacouba Songne anafanya jaribio akiwa nje ya 18 halizai matunda.
Dakika ya 9 Prisons wanafanya jaribio linakwenda nje ya lango.
Safi sana wananchi mikia wameshindwa kabisa kuwafunga prison
ReplyDeletePira refa limetiki
DeleteBado zamu yenu
DeleteMnyama anakuja mjiandae
ReplyDeleteMikia aka nyau mweusi atatobolewa
DeleteManyani yamebebwa leo, ndo maana kimataifa hayafurukuti... Mei 8 yataaibija sana
DeleteRefa kapeta penati ya wazi kbs
ReplyDeleteMtapata taabu sana
DeleteNdo muda wenu kushangilia maana kilio kinakuja mbeleni.... Mtapoteana mpaka mtajuta
ReplyDeleteHapa kilichobaki ni muda....
DeleteMuwe na subla....wale salaam
Mbona kuna malalamiko kibao prison wamenyongwa na refa pamoja na muamala umepenyezwa? TFF anzieni hapo
ReplyDeleteNendeni fifa
Deletesimba na yanga ni timu za nchi, ni timu za wananchi,pia ni kubalance furaha "remember Simba vs Mbao" Dodoma, ASFC
ReplyDeleteHapa kuna ushahidi wa mchezaji wa prison akihojiwa kasema kulikuwa na ushawishi wa milion 40, sasa tunyamaze? Na mwenendo wa refa haukuwa sawa
ReplyDeleteMalalaniko haya badilishi matikeo, bora kukaa kimya na kujipaga kwa michezo inayao wahusu
ReplyDeleteWatapata taabu sana
DeleteWache washeherekee kabla ya kuangusha kuliko tarehe nane ambacho huenda kikatokana Morrison
ReplyDeleteni dhahiri shahiri Tanzania Prison walinyimwa penalti..sasa kwa matokeo ya goli moja ni wazi ni wamesonga mbele kwa upendeleo wa mwamuzi
ReplyDeleteLazim mseme..coz simba na wajeda wapi wapi
DeleteWape salaam
ReplyDeleteTarehe nane watatumia vibaya sana
ReplyDelete