October 16, 2020

4 COMMENTS:

  1. Sio faili tuu, hata atue na kabati lote la simba bado kipigo kinawahusu

    ReplyDelete
  2. kumbe mafaili ya simba yalikuwa huko alipokuwa?

    ReplyDelete
  3. mie niljua amekuja kufundisha timu ichukue makombe kumbe amekuja kuifundisha utopolo kwa ajili ya simba mwambieni kuna azam,kmc,gwambina,dodoma jiji,biashara,namung'o na timu kibao zipo

    ReplyDelete
  4. Kwa staili hiyo, kuanzia leo anaenda kufundisha timu namna ya kucheza mechi ya simba na yanga, hajui kama kuna mechi kadhaa mbele yake kabla ya kukutana na kisago cha mnyama

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic