October 15, 2020






LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo kutakuwa na michezo miwili kwa timu nne kusaka pointi tatu viwanja viwili tofauti.


Ratiba ipo namna hii Oktoba 15:- 

Gwambina iliyo nafasi ya 14 kwenye msimamo na pointi nne mchezo wake uliopita ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Ihefu v Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 12 na pointi tano, mchezo wake uliopita ilifungwa bao 1-0 dhidi ya Biashara United Uwanja wa Gwambina saa 10:00 jioni.

Azam iliyo nafasi ya kwanza na pointi 15 mchezo wake uliopita ilishinda abao 4-2 dhidi ya Kagera Sugar  v Mwadui iliyo nafasi ya 10 na pointi 6 kibindoni.Mchezo wake uliopita ilishinda bao 1-0 dhidi ya Namungo FC, mchezo wa leo utachezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku

6 COMMENTS:

  1. Kwa ulichoandika hapa, Ni ngumu sana san mtubwa uelewa wa kawaida kujua ratiba ikoje. Ungeandika ratiba ya Leo Ni gwambina na Azam, mchezo saa moja, Kisha fafanunua ulichoandika

    ReplyDelete
  2. Hivi hawa makanjanja wanaoandika kwenye hii blogu wanafundishwa na nani?
    Inaelekea hata basics za uandishi hawazijui.
    Kujenga sentensi na ikaeleweka ni changamoto kwenye hii blogu.
    Saleh Jembe fanya kazi yako.

    ReplyDelete
  3. Mtu unatumia nguvu kubwa kuelewa

    ReplyDelete
  4. Hapa Saleh Jembe atalalamika kuwa wanawapaka matope.Mwandishi kanjanja tuhabarishe mechi za leo ni Azam vs ?? na Gwambina vs ???

    ReplyDelete
  5. Yaan ukisoma hapo hats huelewi, Azam vs nani, wala Gwambina vs nani,..sifa y habari iwe inaeleweka kwa wasimaji woote

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic