November 20, 2020

 


NYOTA wa kikosi cha Yanga, Haruna Niyonzima taarifa zinaeleza kuwa amepata ajali akiwa na mke wake nchini Rwanda wakati gari alilokuwa akiendesha kupata ajali wakati akimkwepa mwendesha baiskeli katika eneo la Nyamata, wilaya ya Buswgwra.

Baada ya kumkwepa mwendesha baiskeli huyo alilivaa lori lililokuwa pembeni.



Taarifa zinaeleza alikuwa na mke wake wa pili na hajapata majeraha mchezaji huyo anayeitumikia timu ya Yanga kwa Tanzania pamoja na timu yake ya Taifa ya Rwanda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic